Description
Ufafanuzi wa Biblia katika Mazingira na Utamaduni wa Kiafrika
Tokunboh Adeyemo, Mhariri Mkuu
Kitabu hiki ni kitabu cha kipekee kuwahi kuchapishwa – kinahusu ufafanuzi wa Biblia katika juzuu moja lililotolewa kwa mara ya kwanza hapa Afrika na wanatheolojia Waafrika ili kuyakidhi mahitaji ya wachungaji wa Kiafrika, wanafunzi na viongozi wa kanisa. Kwa kufasiri na kuzingatia matumizi ya Biblia katika miktadha halisi ya utamaduni wa Kiafrika ulivyo sasa; kitabu hiki kinayaelezea Maandiko Matakatifu vizuri sana na kwa undani kwa njia bora zinazoafiki bara la Afrika kwa umuhimu wake. Kitabu hiki kinatoa ufasiri wa sehemu kwa sehemu ambao unaambatana na muktadha wa Kiafrika unaoeleweka kwa urahisi.
Product Code: REF5126
ISBN 978 9966 805 12 6
Hardcover
Trim Size: 18.7 cm x 23.0 cm
Pages: 1,832
Territory: World
Published 2010
Reviews
There are no reviews yet.